Indirimbo Zikundwa Open in the app

#265

Awaongoza walio wake

Izindi

Couplet 1

Awaongoza walio wake! Mwokozi Mzuri sana, Yu wapi rafiki anaye jaa, na huruma kama Yeye.

Refrain

{Mwokozi Mwema,} x2 Anatulinda Salama, Atuangazia Nuru, Sifa na Utukufu kwake.

Couplet 2

Awaongoza walio wake! Na hata tuangukapo, kutoka kiti chake cha Rehema, Atumwangia baraka.

Refrain

{Mwokozi Mwema,} x2 Anatulinda Salama, Atuangazia Nuru, Sifa na Utukufu kwake.

Couplet 3

Awaongoza walio wake! Mateso ya kitusonga, Atukusanya mabawani mwake, na humo tunapumzika.

Refrain

{Mwokozi Mwema,} x2 Anatulinda Salama, Atuangazia Nuru, Sifa na Utukufu kwake.

Couplet 4

Awaongoza walio wake! Tutapomaliza mwendo, Furaha gani kuwa naye Bwana, na kumsifu milele.

Refrain

{Mwokozi Mwema,} x2 Anatulinda Salama, Atuangazia Nuru, Sifa na Utukufu kwake.