Indirimbo Zikundwa Open in the app

#245

Nifananishwe nawe ee bwana

Izindi

Couplet 1

Nifananishwe Nawe ee Bwana, niwe mpole mnyenyekevu; Nipe na bidi ina nguvu Yako, nijitoe kwa kazi Yako Bwana.

Refrain

Bwana beba moyo wangu wote nina taka niwe wako Bwana; Unioshe tosha zambi zote unichunge niwe wako Bwana.

Couplet 2

Nifananishwe Nawe ee Bwana, hili ndilo ombi langu Kwako; Unijaze na Roho Wako Bwana, nipe uwezo nimshinde Shetani.

Refrain

Bwana beba moyo wangu wote nina taka niwe wako Bwana; Unioshe tosha zambi zote unichunge niwe wako Bwana.

Couplet 3

Nifananishwe Nawe ee Bwana, nipe na Uzima wako Bwana; Nifuate nyayo zako daima, nataka sana nifanane Nawe.

Refrain

Bwana beba moyo wangu wote nina taka niwe wako Bwana; Unioshe tosha zambi zote unichunge niwe wako Bwana.