Indirimbo Zikundwa Open in the app

#228

Hapo mwanzo

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

Hapo mwanzo Mungu Akamuumba Adam pamoja na Mke we akawaweka shambani Edeni wayalinde na kuyatunza.x2

Refrain

:/:Kwahiyo mwana Mme ataacha baba yake na mama yake naye ata ambatana na Mke we nao watakuwa mwili moja:/:

Refrain

:/:Basi alio Waunganisha Mungu mwana damu asiwatenganishe:/: Vivyo hivyo imewapasa Waume kupenda Wake zao kama miili yao wenyewe ampendaye Mke we hujipenda mwenyewe:/:

Couplet 2

Enyi Wake watiini Waume zenu kama kumutii Bwana, kwamaana ndiyekichwa kama Kristo ni kichwa cha Kanisa.

Refrain

:/:Kwahiyo mwana Mme ataacha baba yake na mama yake naye ata ambatana na Mke we nao watakuwa mwili moja:/:

Refrain

:/: Vivyo hivyo inakupasa wewe Ndugu kupenda Mke wako kama mwili yako mwenyewe ampendaye Mke we hujipenda mwenyewe:/: