#227
Je! ee nafsi yangu
Iz'i Gisenyi
Couplet 1
Je! Ee Nafsi yangu una uhakika kwamba Mungu wako Akulinda?x2
Couplet 2
Mungu ni Mungu Amezihirisha Neno Aliosema kutulinda Yeye si mtu kusema uongo apewe sifa Milele.x2
Couplet 3
Sasa sika, Ee nafsi yangu kutoku amini ukuache, Tumaini lako lote ulitiye ndani ya asema Bwana.x2
Couplet 4
Mimi, Sote, twafaidika kwa ulinzi wa Bwana mimi, sote Tumeona Mukono wa Bwana.x2
Refrain
S: Ninapopita bonde TS: La mauti Sitaogopa kitu TS: Kwani Bwana Ananichunga sana TS: Kulingana na Neno lake
Refrain
S: Ninapopita kati TS: Ya amaji Yeye yupamoja nami TS: Kila saa sitaogopa kamwe TS: Kwani Bwana Ananilinda
Refrain
S: Ninapopita kati TS: Yaa moto sitauguwa kamwe TS: Na ulimi wa moto hauwezi TS: Kunichoma Bwana Asema.