Indirimbo Zikundwa Open in the app

#216

Tumeokolewa

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

Tumeokolewa kwa Neema ya Bwana tulikuwa wafungwa kweli wa zambi.x2

Refrain

Yeye kwa Upendo akatuma Bwana Yesu ili tuokolewe toka kati utumwa.x2

Couplet 2

Tumeipokea Neema Bwana Ujumbe wa Wakati sasa tuwe washujaa.x2

Refrain

Yeye kwa Upendo akatuma Bwana Yesu ili tuokolewe toka kati utumwa.x2

Couplet 3

Neema ni Neema kwa wana ipokea kama vile Neema na inawafaliya.x2

Refrain

Yeye kwa Upendo akatuma Bwana Yesu ili tuokolewe toka kati utumwa.x2