Indirimbo Zikundwa Open in the app

#215

Musijisumbuwe

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

Musijisumbuwe kwajili ya maisha mutakula nini pia nini mutavaa kwani Baba yenu yeye Anaye jua vitu vyote ninyi munavyo vihitaji%

Refrain

Tazameni ndege za anga hawapandi na hawavunii hawana shamba wala gala na Baba yenu huwalisha wao%

Couplet 2

Yesu alisema kwa yeyote anaye omba atapewa akiwa na imani hivi tumuombe bila shaka yeyote nasi tutaona maajabuu yake%

Refrain

Tazameni ndege za anga hawapandi na hawavunii hawana shamba wala gala na Baba yenu huwalisha wao%

Couplet 3

Tafuteni kwanza Ufalme wa Mbingu ndipo na mengine yote ataongezwa hii ni Ahadi kwaye yote anaye amini Maneno yake Yesu Kristo%

Refrain

Tazameni ndege za anga hawapandi na hawavunii hawana shamba wala gala na Baba yenu huwalisha wao%