#188
Usikate tamaa
Iz'i Gisenyi
Couplet 1
Usikate (tamaa x3) kwa maombi yako sikio lake Bwana Yesu Mwokozi lasikia ombi.
Refrain
ANT: Bwana TS: Bwana si mbali nawe akusikia utiyapo mahitaji yako uwe na Imani.x2
Couplet 2
Tukumbuke Eliya Elia aliomba Bwana kashusha moto Bwana Yesu ni yule jana na leo milele na milele.
Refrain
ANT: Bwana TS: Bwana si mbali nawe akusikia utiyapo mahitaji yako uwe na Imani.x2
Couplet 3
Imani ni bayana hakika ya mambo yasiyo onekana na pasipo imani kweli vigumu kumupendeza Mungu.
Refrain
ANT: Bwana TS: Bwana si mbali nawe akusikia utiyapo mahitaji yako uwe na Imani.x2