Indirimbo Zikundwa Open in the app

#187

Eh bwana

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

Eh Bwana uniumbie moyo safi nikutumikie wewe kwa kweli na kwa haki [S: Unitege] Unitegee sikiyo lako Bwana katika maombi yangu, Eh Bwana nakuomba.x2

Refrain

S: Nina kutu TS: Nina kutumaini ya wewe S: ili nisi B: ili nisi aribishwe milele S: Adui zangu B: Adui zangu wasifurahiye kushindwa kwangu Ee Bwana Ee Bwanaa nakuomba.

Couplet 2

Eh Bwana niokoe na adui zangu unilinde kama mboni la Jicho lako Bwana [S: Unifiche] unifiche chini ya Uvuli wako nitalisifu Jina lako kwa maisha yangu yote.x2

Refrain

S: Nina kutu TS: Nina kutumaini ya wewe S: ili nisi B: ili nisi aribishwe milele S: Adui zangu B: Adui zangu wasifurahiye kushindwa kwangu Ee Bwana Ee Bwanaa nakuomba.

Couplet 3

Hukumu yangu na itoke kwako macho yako yanitazame katika maisha yangu [S: Umeuja] Umeujaribu moyo wangu wewe uwaokowae wanawo kukimbilia.x2