Indirimbo Zikundwa Open in the app

#180

Heri kuwa na Yesu

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

heri kuwa na yesu kuliko mali, heri kuwa na Yesu mwokozi heri kuwaYesu kuliko mali Mupendwa Yesu Mwokozi.

Refrain

Kwa Upendo wake aliye nipenda Yesu ni Bwana ni mchunga wangu heri kuwa na Yesu kuliko mali Mupendwa Yesu Mwokozi.

Couplet 2

Heri kuwa na Yesu hautapotea heri kuwa na Yesu Mwokozi heri kuwa na Yesu hautapotea Mupendwa Yesu Mwokozi.

Refrain

Kwa Upendo wake aliye nipenda Yesu ni Bwana ni mchunga wangu heri kuwa na Yesu kuliko mali Mupendwa Yesu Mwokozi.

Couplet 3

Heri kuwa na Yesu kuliko vyote heri kuwa na Yesu Mwokozi heri kuwa na Yesu kuliko vyote Mupendwa Yesu Mwokozi.

Refrain

Kwa upendo wake Aliye nipenda penda jirani yako kama wewe heri kuwa na Yesu hautapotea Mupendwa Yesu Mwokozi.