Indirimbo Zikundwa Open in the app

#179

Ni jina moja

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

Ni Jina moja linalo yapita majina mengine duniani ikiwa watu wote walicheka katika Yesu ninafurahi.

Refrain

Ee Jina la Ajabu na uheri nitalishangiliya milele, Jina la Yesu la komboa kweli, lanijaza na amani tele.x2

Couplet 2

Lanifariji katika uzuni katika taabu ya gisa kuu kati uharibifu wa dunia ni kimbilio Jina lake tu.

Refrain

Ee Jina la Ajabu na uheri nitalishangiliya milele, Jina la Yesu la komboa kweli, lanijaza na amani tele.x2

Couplet 3

Majina ya wafalme yatafutwa na vitu vya dunia tapita Jina hilo la Yesu litabaki milele na milele litabaki.

Refrain

Ee Jina la Ajabu na uheri nitalishangiliya milele, Jina la Yesu la komboa kweli, lanijaza na amani tele.x2