#177
Bwana wewe
Iz'i Gisenyi
Couplet 1
Bwana wewe unajua kwamba mimi ni muzayifu nguvu zangu akili na anafsi havinipi kushinda, naogopa kukuacha wewe ili nisiangamiye, nimeona uzuri wako Yesu ninapenda uzima wako.
Refrain
Naomba:/ naomba Bwana unisikie ninapo kulilia Naomba:/ naomba Bwana nijaze roho ninapo jaribiwa.x2 Naomba Bwana Unisikie ninapo kulilia.
Couplet 2
Bwana wewe unajua kwamba naweza danganyika duniani kumejaa mapepo mengi na mafundisho ya Shetani macho yangu yanatazama na kuyatama aniya masikiyo yanaa sikiliza nataka kudanganyika.
Refrain
Naomba:/ naomba Bwana unisikie ninapo kulilia Naomba:/ naomba Bwana nijaze roho ninapo jaribiwa.x2 Naomba Bwana Unisikie ninapo kulilia.
Couplet 3
Bwana wewe unajua kwamba tupo majaribuni siku zote tupende tusipopenda twasumbuka vitani Shetani anapanga vita usiku na mchana ula nasi tuna mshinda kwanguvu zako wewe.
Refrain
Naomba:/ naomba Bwana unisikie ninapo kulilia Naomba:/ naomba Bwana nijaze roho ninapo jaribiwa.x2 Naomba Bwana Unisikie ninapo kulilia.
Couplet 4
Dunia zoruba napepo nyingi zinani piganisha, shida nyingi magonjwa na umaskini vinani piganisha, makusudi ya Shetani ni kwamba nikane Imani yangu nimeona uzuri wako Yesu na siwezi kukuacha.
Refrain
Naomba:/ naomba Bwana unisikie ninapo kulilia Naomba:/ naomba Bwana nijaze roho ninapo jaribiwa.x2 Naomba Bwana Unisikie ninapo kulilia.