Indirimbo Zikundwa Open in the app

#150

Ninakushukuru Mungu wangu

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

Ninakushukuru Mungu wangu kwa ajili ya Uwezo wako kwa kadiri ya ukuu wako unao tenda kwa maisha yangu.

Refrain

Naushukuru ulinzi wako na Upendo usiyo namipa ka na ahadi ya kuja Kwako siku ile usini sahau.x2

Couplet 2

Ninavyo unavyo nilisha na kwa vile unavyo ni vika na la kushukuru ni nakosa wewe ni jibu kwa kila jambo.

Refrain

Naushukuru ulinzi wako na Upendo usiyo namipa ka na ahadi ya kuja Kwako siku ile usini sahau.x2

Couplet 3

Unapo patwa na shida kali ao ikiwa furaha kubwa shukuruni kwa kila jambo maana hayo mapenzi ya Mungu.

Refrain

Naushukuru ulinzi wako na Upendo usiyo namipa ka na ahadi ya kuja Kwako siku ile usini sahau.x2