#113
Nipe saa moja
Iz'i Gisenyi
Couplet 1
Nipe saa moja nawe Yesu nikichoka huku duniyani hata nikiona vita kari wanistaheresha siku zote.
Refrain
Nipe saa moja nawe Yesu kwa nigiza iko duniani natamani kukukaribiya kusikiya Neno lako Nzuri.
Couplet 2
Nipe saa moja nawe Yesu katika jaribu nataabu umakimbilio yangu mema katika hatari na ghasia.
Refrain
Nipe saa moja nawe Yesu kwa nigiza iko duniani natamani kukukaribiya kusikiya Neno lako Nzuri.
Couplet 3
Nipe saa moja nawe Yesu ulie chukuwa dhambi zangu ninataka kueleza yote kwani unanifahamu sana.
Refrain
Nipe saa moja nawe Yesu kwa nigiza iko duniani natamani kukukaribiya kusikiya Neno lako Nzuri.