Indirimbo Zikundwa Open in the app

#93

Ndoa ya kwanza edeni

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

Ndoa ya kwanza Edeni Mungu Aliunganisha Adamu na mke wake wakakuamwili moja.x2 ATB ya kwanza Edini aliunganisha Adamu na mke wakakuwa moja

Couplet 2

Kwa neema yake Mungu mulivumilia yote mkajiweka tayari mpaka siku ya arusi.x2 ATB Neema yake Mungu vumilia yote jiweka tayari siku ya arusi.x2

Couplet 3

Enyi vijana wa leo arusi hii ya leo yatukumbusha ile kuu kukutana naye Bwana.x2 ATB Na wakristo wote jitayarisheni kukutana naye kule mawinguni.x2

Refrain

Ewe ndugu wetu ....…. Na dada wetu....... mmeunganishwa leo muwe sasamwili moja kwa neema yake Mungu aliye waunganisha muwe nuru ya dunia Bwana wetu Asifiwe.

Refrain

ATB Ndugu wetu mpendwa dada wetu pia unganishwa leo muwe sasa mwili neema yake Mungu aliwaunganisha.