#86
Tujiazari na unafiki
Iz'i Gisenyi
Couplet 1
Tujiazari na unafiki ni chachu ya mafarisayo inafanana na makaburi yaliyopakwa chokaa inje.x2
Refrain
Waonekana na utuwema wajitakasa inje pekee kumbe moyo ni giza na zambi na uwovu wa kila aina mwalike Yesu moyoni mwako kwa Damu atakutakasa uwe nuru nachumvi kwa wote sifa kwa Bwana Alelluya.
Couplet 2
Ume musengenya ndugu yako na kumutangaza vibaya mukikutana wamusalimu ndugu yangu Bwana Asifiwe.x2
Refrain
Waonekana na utuwema wajitakasa inje pekee kumbe moyo ni giza na zambi na uwovu wa kila aina mwalike Yesu moyoni mwako kwa Damu atakutakasa uwe nuru nachumvi kwa wote sifa kwa Bwana Alelluya.
Couplet 3
Hata nyumbani mafarakano wivu ugomvi na jirani unaficha na kushiriki Mwili na Damu ya Bwana Yesu.x2
Refrain
Waonekana na utuwema wajitakasa inje pekee kumbe moyo ni giza na zambi na uwovu wa kila aina mwalike Yesu moyoni mwako kwa Damu atakutakasa uwe nuru nachumvi kwa wote sifa kwa Bwana Alelluya.
Couplet 4
Kumbuka mwisho wakati sote tutafika mbele ya Bwana na kulipwa kwa matendo yako yote nayale ya unafiki.x2