Indirimbo Zikundwa Open in the app

#68

Bwana Mungu

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

Bwana Mungu amenilinda katika majaribu na uwezo wake wote Umeonekana (kweli) na kuomba sasa Mungu Baba Uniongoze nilifuate neno lako nifike mbinguni.

Refrain

Nashukuru Bwana Yesu kwa kunishindiya kwa sababu maombi yangu ameyasikia nakuomba sasa Mungu Baba Uniwezeshe kwa kuishi Neno lako katika maisha.

Couplet 2

Mwokozi Bwana Yesu Amenikomboa siku kuwa na uzuri wa kumupendeza (tena) sikushinda watu wote kwa kujitakaza ilikuwa Neema yake kwa kunichaguwa.

Refrain

Nashukuru Bwana Yesu kwa kunishindiya kwa sababu maombi yangu ameyasikia nakuomba sasa Mungu Baba Uniwezeshe kwa kuishi Neno lako katika maisha.

Couplet 3

Watukufu kunishinda wote wamekwenda wavulana waadabu wote wamekufa wenye nguvu nyingi sana nao wamepita sasa mimi ninaishi kwa Neema ya Yesu.

Refrain

Nashukuru Bwana Yesu kwa kunishindiya kwa sababu maombi yangu ameyasikia nakuomba sasa Mungu Baba Uniwezeshe kwa kuishi Neno lako katika maisha.

Couplet 4

Wenye mali nyingi kweli leo hawaishi watu wengi mashuguli wameaga dunia wenye akili na hekima sasa siwaoni Bwana Mungu kwa Upendo Amenirehemu.

Refrain

Nashukuru Bwana Yesu kwa kunishindiya kwa sababu maombi yangu ameyasikia nakuomba sasa Mungu Baba Uniwezeshe kwa kuishi Neno lako katika maisha.

Couplet 5

Ndugu sasa nawe dada umerehemiwa si kwa uwezo wako wewe kwamba unaishi ni mapenzi yake bwana aliye kuchaguwa sasa uishi Neno lake milele na milele.