#9
Neema imekaribia kuisha
Iz'i Gisenyi
Couplet 1
Neema imekaribia kuisha ee ndugu nawe unatangatanga neema imekaribia kuisha nawe unatangatanga ee ndugu.
Refrain
Tangu umesikia neno la mungu (uuu) Mahubiri mengi umeyasikia (aaa) Yote yanapita kama pepo kwako(ooo)X2 Na unapuuzi Neno la Mungu(uuu) Upuuzi wako utakwangamiza(aaa)%
Couplet 2
Myaka elfu mbili imekwisha pita tangu Yesu ameleta Wokovu. Neema Wokovu kwa kila atakaye nawe unatangatanga ee ndugu.
Refrain
Tangu umesikia neno la mungu (uuu) Mahubiri mengi umeyasikia (aaa) Yote yanapita kama pepo kwako(ooo)X2 Na unapuuzi Neno la Mungu(uuu) Upuuzi wako utakwangamiza(aaa)%
Couplet 3
Kwa nini kuangamiya kwa milele Mungu hataki upotee neema imekaribiya kuisha anakungoja ufike kwa Yesu.x2
Refrain
Tangu umesikia neno la mungu (uuu) Mahubiri mengi umeyasikia (aaa) Yote yanapita kama pepo kwako(ooo)X2 Na unapuuzi Neno la Mungu(uuu) Upuuzi wako utakwangamiza(aaa)%
Couplet 4
Kizazi hiki hakitapita kamwe kabla Yesu haja twaa waamini Neema imekaribia kuisha nawe unatangatanga ee ndugu.x2