#578
Damu ilininunua
Coll. des Cantiques
Couplet 1
Damu Ilininunua, jangwani Alinitosha Alinibariki na kunipenda mi’muovu Kwani A’nipenda, Ananipenda Kwa Ubarikio Wake, Ananikokota.
Couplet 2
Na Sauti ya Upole, Ananiita na Mapendo Zaidi moyo wangu unachoka na zambi Kwani A’nipenda, Ananipenda Zaidi moyo wangu unachoka na zambi.
Couplet 3
Siku ile ya Furaha, mikononi Anichunga Kwa Huruma wake Ananivika kofia Kwani Anichunga, Ananichunga Kwani Huruma wake Ananivika kofia.
Couplet 4
Mahitaji yangu yote, ninatia yote Kwake Moyo wangu unaimba na Furaha kwa Bwana Kwani A’nipenda, Ananipenda Kwa Ubarikio wake Ananikokota.