Indirimbo Zikundwa Open in the app

#577

Si njia rahisi

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Si Njia rahisi, ya kwenda Mbinguni Njiani kuna miba mingi Si Njia rahisi, tunaye Mwokozi Kuwa Naye ni Furaha Kuu.

Refrain

Laa, laa si Njia rahisi Laa, laa si Njia rahisi Kutembea na Yesu kuongoza safari Mazito huyarahisisha.

Couplet 2

Si Njia rahisi, majaribu na shida Hatari nyingi twazikuta, Bali Yesu yupo kutukinga na yote, Kurayisisha Njia yetu.

Refrain

Laa, laa si Njia rahisi Laa, laa si Njia rahisi Kutembea na Yesu kuongoza safari Mazito huyarahisisha.

Couplet 3

Roho mara huchoka, Safari ni ndefu Nami hufa moyo kwa mengi, Siku njema yaja kwetu huko Mbinguni Ya kupumzika Milele.

Refrain

Laa, laa si Njia rahisi Laa, laa si Njia rahisi Kutembea na Yesu kuongoza safari Mazito huyarahisisha.