#491
Nabii wa zamani walitembea naye
Coll. des Cantiques
Couplet 1
{Nabii wa zamani walitembea Naye, Tembea na Bwana Yesu.} x2
Refrain
(Ndugu zangu tembea) Tembea Naye , Tembea Naye, Tembea na Bwana Yesu.
Refrain
(Dada zangu tembea) Tembea Naye , Tembea Naye, Tembea na Bwana Yesu.
Refrain
(Utapata furaha) Tembea Naye , Tembea Naye, Tembea na Bwana Yesu.
Refrain
(Utapata uzima) Tembea Naye , Tembea Naye, Tembea na Bwana Yesu.
Refrain
(Utapata salama) Tembea Naye , Tembea Naye, Tembea na Bwana Yesu.
Refrain
(Tembea na Bwana Yesu) Tembea Naye , Tembea Naye, Tembea na Bwana Yesu.
Couplet 2
{Mitume zamani walitembea Naye, Tembea na Bwana Yesu.} x2
Refrain
(Ndugu zangu tembea) Tembea Naye , Tembea Naye, Tembea na Bwana Yesu.
Refrain
(Dada zangu tembea) Tembea Naye , Tembea Naye, Tembea na Bwana Yesu.
Refrain
(Utapata furaha) Tembea Naye , Tembea Naye, Tembea na Bwana Yesu.
Refrain
(Utapata uzima) Tembea Naye , Tembea Naye, Tembea na Bwana Yesu.
Refrain
(Utapata salama) Tembea Naye , Tembea Naye, Tembea na Bwana Yesu.
Refrain
(Tembea na Bwana Yesu) Tembea Naye , Tembea Naye, Tembea na Bwana Yesu.
Couplet 3
{Na sisi wakristo tunatembea Naye, Tembea na Bwana Yesu.} x2