Indirimbo Zikundwa Open in the app

#361

Kurudi kwa bwana

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Kurudi kwa Bwana Yesu Mbinguni Kuwachukua watu Wake, Mbele atatangulia kuwapa Mwili mupya wa kule Mbingu.

Refrain

E mauti, nguvu yako ni wapi? E lufu, uchungu ni wapi? Aleluya, wakushinda mauti! Ingia nyumbani mwa Baba (yangu).

Couplet 2

Kisha atawapeleka nyumbani Ya Mungu Baba kule Mbingu; Aleluya! « Unashinda mauti! » Ingia nyumbani na furaha.

Refrain

E mauti, nguvu yako ni wapi? E lufu, uchungu ni wapi? Aleluya, wakushinda mauti! Ingia nyumbani mwa Baba (yangu).

Couplet 3

Tazameni ninawambia siri: « Sisi zote atutalala, Tutabadirishwa dakika moja Na tutavaa mwili mupya.»

Refrain

E mauti, nguvu yako ni wapi? E lufu, uchungu ni wapi? Aleluya, wakushinda mauti! Ingia nyumbani mwa Baba (yangu).

Couplet 4

Kweli mutume Paulo’nasema: « Tutafufuka bila shaka, Kufunga na kufungua kwa jicho, Tutafufuka mara moja.»