#360
Siku yangu
Coll. des Cantiques
Couplet 1
{Siku yangu ya kuona Bwana Inakaribia sana, Ninaamini kuona Yesu, Uzima wangu.} x2
Refrain
(Bwana kuja) Bwana kuja twende, (Tuende kwetu) Bwana kuja twende, (Kule Mbingu) Bwana kuja twende, (Tunachoka) Bwana kuja twende, (Na dunia) Bwana kuja twende.
Couplet 2
{Natamani kwa moyo wangu, Kwenda pamoja na Yesu Na kukaa Naye milele Pa kiti cha Enzi.} x2
Refrain
(Bwana kuja) Bwana kuja twende, (Tuende kwetu) Bwana kuja twende, (Kule Mbingu) Bwana kuja twende, (Tunachoka) Bwana kuja twende, (Na dunia) Bwana kuja twende.
Couplet 3
{Ndugu zangu tukaze mwendo, Tusirudi nyuma tena; Vya dunia vinanza kwisha, Twende, twende kwetu.} x2