Indirimbo Zikundwa Open in the app

#295

Yesu ananichunga

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Yesu ananichunga katika pendo la ndugu; Anigawiya mzigo wangu vile na woga.

Refrain

Nina’ngoja kurudi kwa Yesu, Njiani kwenda Mbinguni naimba; Ni wimbo wa furaha mapema, Hu’ ni wimbo, salama ya Mbingu.

Couplet 2

Kwa neema, Yesu ananisemea Mbinguni; Siku zote kunisemea pasipo kuchoka.

Refrain

Nina’ngoja kurudi kwa Yesu, Njiani kwenda Mbinguni naimba; Ni wimbo wa furaha mapema, Hu’ ni wimbo, salama ya Mbingu.

Couplet 3

Kuniangazia mwanga’ ninapata furaha; Kunifunika na Uwezo Wake wa ajabu.

Refrain

Nina’ngoja kurudi kwa Yesu, Njiani kwenda Mbinguni naimba; Ni wimbo wa furaha mapema, Hu’ ni wimbo, salama ya Mbingu.

Couplet 4

Anaikaa mwangu, Yeye mwangu mimi Mwake; Roho yangu amejaza niishapo jitoa.