Indirimbo Zikundwa Open in the app

#291

Jiwe lenye kubarikiwa

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Jiwe lenye kubarikiwa, Ni Wewe wakujifichamo; Wewe ni Jiwe kunifunika, Na nitakusifu milele.

Refrain

Wewe Jiwe na Kiongozi, Na Rafiki, na Raha yangu, Wazo langu Wewe Mwokozi, Tumaini nitafichama.

Couplet 2

Hata zambi inanibeba, Wewe ni Jiwe langu mimi; Hata jaribu, hata huzuni, Wewe Jiwe, sitaogopa.

Refrain

Wewe Jiwe na Kiongozi, Na Rafiki, na Raha yangu, Wazo langu Wewe Mwokozi, Tumaini nitafichama.

Couplet 3

Hata majaribu inakuja, Wewe ni Rafiki ya kweli; Roho inapenda kukuabudu, Unichunge mukamilifu.

Refrain

Wewe Jiwe na Kiongozi, Na Rafiki, na Raha yangu, Wazo langu Wewe Mwokozi, Tumaini nitafichama.

Couplet 4

Ufalume na utawala- Vitaisha lakini Wewe Utabaki Jiwe la wokovu, Ntakutumaini milele.