Indirimbo Zikundwa Open in the app

#289

Siku nyingi sikujua

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Siku nyingi sikujua Kama Yesu atarudi Kuchukua Bibi Arusi, Kwenda naye kule Mbingu.

Refrain

Aleluya! Aleluya! Namtolea Bwana Yesu maisha yangu.

Couplet 2

Sasa leo nina amini Yesu Kristo Bwana yangu; Ananipa maisha Yake, Asifiwe Mwana Kondoo!

Refrain

Aleluya! Aleluya! Namtolea Bwana Yesu maisha yangu.

Couplet 3

Shamba kubwa Lake Bwana, Kazi nyingi kwake Yesu. Wewe ndugu, wewe dada, Uko nani ndani Yake.

Refrain

Aleluya! Aleluya! Namtolea Bwana Yesu maisha yangu.

Couplet 4

Unabaki bila kazi? Lia sana kwake Yesu, Akonyeshe kazi yako. Aleluya! Amina!

Refrain

Aleluya! Aleluya! Namtolea Bwana Yesu maisha yangu.