Indirimbo Zikundwa Open in the app

#241

Sitaogopa majaribu

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Sitaogopa majaribu ya Shetani, Yesu ni karibu nami. (x2)

Refrain

Sitaogopa giza, Yesu ananichunga, Na malaika wake Ananiongoza njia. (x2)

Couplet 2

Yesu ni Yeye Bwana wetu wa uzima, Asifiwe! Bwana wetu! (x2)

Refrain

Sitaogopa giza, Yesu ananichunga, Na malaika wake Ananiongoza njia. (x2)

Couplet 3

Nitafwata Mwokozi wangu siku zote, Katika maisha yangu. (x2)

Refrain

Sitaogopa giza, Yesu ananichunga, Na malaika wake Ananiongoza njia. (x2)