Indirimbo Zikundwa Open in the app

#128

Tembea na bwana

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Tembea na Bwana hata usiku; Hata kwiko giza umongojee. Wakati adui weko karibu, Ukiwa na Yesu hutaogopa.

Refrain

Tembea pasipo woga, Upate nguvu mupya. Utembee na Mwokozi; Na Yeye atakuongoza.

Couplet 2

Tembea na Bwana pahali pote; Giza likizidi atakuchunga. Kuwapo kwa Bwana kutaangaza, Na jangwa mukubwa ikuwe shamba.

Refrain

Tembea pasipo woga, Upate nguvu mupya. Utembee na Mwokozi; Na Yeye atakuongoza.

Couplet 3

Tembea na Bwana usilegee; Akikuamuru wewe utii. Ufanye upesi agizo Lake; Ukiwa na Yesu uko hakika.

Refrain

Tembea pasipo woga, Upate nguvu mupya. Utembee na Mwokozi; Na Yeye atakuongoza.