#112
Pendo la bwana Mungu
Coll. des Cantiques
Couplet 1
Pendo la Bwana Mungu Ni pendo kabisa: (x2) Vilima na mabonde viliumbwa Naye; Wote tumwimbieni.
Refrain
Wote: Wanamwimbia Mbinguni, duniani; Watu na wa malaika za Mbinguni Wote: Wanamwimbia tu. (x2)
Couplet 2
Pendo la Bwana Mungu Ni pendo kabisa. (x2) Samaki na bahari viliumbwa Naye; Wote tumwimbieni.
Refrain
Wote: Wanamwimbia Mbinguni, duniani; Watu na wa malaika za Mbinguni Wote: Wanamwimbia tu. (x2)
Couplet 3
Tumsifu Mungu Baba Ni Yeye wa Mapendo. (x2) Alituma Mwanaye kufwiya dunia; Wote tumwimbieni.
Refrain
Wote: Wanamwimbia Mbinguni, duniani; Watu na wa malaika za Mbinguni Wote: Wanamwimbia tu. (x2)
Couplet 4
Tumshangilie Mungu mwema Ni Yeye wa milele. (x2) Atarudi kubeba Bib’Arusi wake; Wote tumwimbieni.