#111
Mungu mtakatifu
Coll. des Cantiques
Couplet 1
Mungu Mtakatifu, (Mungu Mtakatifu), Mungu Mtakatifu, (Mungu Mtakatifu).
Refrain
Umeumba vyote (Umeumba vyote): Mbingu na dunia (Mbingu na dunia) (x2) {Ni ajabu sana (Ni ajabu sana) Kwa umbaji wako (Ee Mwenyezi Mungu).} x2
Couplet 2
Twaona milima, (Twaona ma bonde), Twaona bahari, (Twaona na mito).
Refrain
Umeumba vyote (Umeumba vyote): Mbingu na dunia (Mbingu na dunia) (x2) {Ni ajabu sana (Ni ajabu sana) Kwa umbaji wako (Ee Mwenyezi Mungu).} x2
Couplet 3
Aksanti Baba, ( kwa umbaji wako), Utukufu wako, (Umejaa na sifa).