Indirimbo Zikundwa Open in the app

#82

Ni nani mwokozi wangu?

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Ni nani Mwokozi wangu? Ni Yesu. (x2)

Refrain

Ngabo ya maisha yangu ni Yesu, Nguzo ya maisha yangu ni Yesu.

Couplet 2

Ni nani alinifia? Ni Yesu. (x2)

Refrain

Ngabo ya maisha yangu ni Yesu, Nguzo ya maisha yangu ni Yesu.

Couplet 3

Pale pa Golgotha? Ni Yesu. (x2)

Refrain

Ngabo ya maisha yangu ni Yesu, Nguzo ya maisha yangu ni Yesu.

Couplet 4

Ni nani Mungu wa kweli? Ni Yesu. (x2)

Refrain

Ngabo ya maisha yangu ni Yesu, Nguzo ya maisha yangu ni Yesu.

Couplet 5

Ni nani tegemeo langu? Ni Yesu. (x2)

Refrain

Ngabo ya maisha yangu ni Yesu, Nguzo ya maisha yangu ni Yesu.

Couplet 6

Ni nani uficho wangu? Ni Yesu. (x2)