Indirimbo Zikundwa Open in the app

#310

Ukitafuta Wokovu, dhambi zivutwe

Wokovu

Couplet 1

Ukitafuta Wokovu, dhambi zivutwe. Twakuletea habari, Yesu anakuita.

Refrain

Yesu Mwokozi akuita, akuita, akuita Yesu Mwokozi akuita, akuita wewe leo.

Couplet 2

Ukipotea dhambini mbali na Mungu wako, Yesu aliyekufia anakuita leo.

Refrain

Yesu Mwokozi akuita, akuita, akuita Yesu Mwokozi akuita, akuita wewe leo.

Couplet 3

Wewe uliyesikia mwito wa Yesu leo, usichelewe kufika, wakati wako leo.

Refrain

Yesu Mwokozi akuita, akuita, akuita Yesu Mwokozi akuita, akuita wewe leo.

Couplet 4

Wengine walisikia, bali walipotea. Hawakujuwa wakati wao wakuokolewa.

Refrain

Yesu Mwokozi akuita, akuita, akuita Yesu Mwokozi akuita, akuita wewe leo.