#55
Tupate kwa nani faraja ya roho?
Wokovu
Couplet 1
Tupate kwa nani faraja ya roho? Kwa Yesu, kwa Bwana Yesu. U wapi msingi wakutegemea? Kwa Yesu, kwa Bwana Yesu.
Refrain
Kwa Yesu, kwa Yesu ninashangilia kwa roho na moyo. Uheri wa huko haufasiriwi, moyoni wafahamiwa.
Couplet 2
Na maji mazima yapatwa kwa nani? Kwa Yesu, kwa Bwana Yesu. Na wapi twapata mikate nyikani? Kwa Yesu, kwa Bwana Yesu.
Refrain
Kwa Yesu, kwa Yesu ninashangilia kwa roho na moyo. Uheri wa huko haufasiriwi, moyoni wafahamiwa.
Couplet 3
Mahali tutapostarehe ni wapi? Kwa Yesu, kwa Bwana Yesu. Na nguvu ya kuendelea ni wapi? Kwa Yesu, kwa Bwana Yesu.
Refrain
Kwa Yesu, kwa Yesu ninashangilia kwa roho na moyo. Uheri wa huko haufasiriwi, moyoni wafahamiwa.
Couplet 4
Ni nani anayebatiza kwa Roho? Ni Yesu, ni Bwana Yesu. Upendo wa ndugu watoka kwa nani? Kwa Yesu, kwa Bwana Yesu.
Refrain
Kwa Yesu, kwa Yesu ninashangilia kwa roho na moyo. Uheri wa huko haufasiriwi, moyoni wafahamiwa.
Couplet 5
Wakristo watakusanyika kwa nani? Kwa Yesu, kwake Mbinguni. Kwa nani watashangilia milele? Kwa Yesu na pendo lake.