Indirimbo Zikundwa Open in the app

#9

Naiamini Damu yako

Wokovu

Couplet 1

Naiamini Damu yako na Msalaba wako, Yesu, Mwokozi wangu wa pekee, napata yote kwako.

Refrain

Uliyoyaahidi na’pata kwa imani. Huwezi kuniacha mimi; napata yote kwako.

Couplet 2

Kwa Damu nimetakasika, na mto wa uzima wako waniletea nguvu tele, napata yote kwako.

Refrain

Uliyoyaahidi na’pata kwa imani. Huwezi kuniacha mimi; napata yote kwako.

Couplet 3

Nafungwa kwa upendo wako, njiani unaniongoza, na katika hatari zote napata nguvu kwako.

Refrain

Uliyoyaahidi na’pata kwa imani. Huwezi kuniacha mimi; napata yote kwako.

Couplet 4

Ninakupenda, Bwana Yesu, wanisikia niombapo, wanipa jibu la maombi, napata yote kwako.

Refrain

Uliyoyaahidi na’pata kwa imani. Huwezi kuniacha mimi; napata yote kwako.