#741
Hakuna Mungu kama Yesu
Umuco 2
Couplet 1
Hakuna Mungu kama Yesu, Hakuna kama wewe, Hakuna Mungu kama Yesu, Hakuna Mwengine kama wewe.} x2
Couplet 2
Hakuna Mfalme kama wewe, Hakuna kama wewe, Hakuna Mfalme kama Yesu, Hakuna Mwengine kama wewe.} x2
Couplet 3
Hakuna Bwana kama wewe, Hakuna kama wewe, Hakuna Bwana kama Yesu, Hakuna Mwengine kama wewe.} x2
Couplet 4
Hakuna Mwokozi kama Yesu, Hakuna kama wewe, Hakuna Mwokozi kama Yesu, Hakuna Mwengine kama wewe.} x2
Couplet 5
Hakuna Mfariji kama wewe, Hakuna kama wewe, Hakuna Mfariji kama Yesu, Hakuna Mwengine kama wewe.} x2
Couplet 6
Hakuna Mponyaji kama wewe, Hakuna kama wewe, Hakuna Mponyaji kama Yesu, Hakuna Mwengine kama wewe.} x2
Couplet 7
Hakuna Mcungaji kama wewe, Hakuna kama wewe, Hakuna Mcungaji kama Yesu, Hakuna Mwengine kama wewe.} x2
Couplet 8
Hakuna Mungu kama Yesu, Hakuna kama wewe, Hakuna Mungu kama Yesu, Hakuna Mwengine kama wewe.} x2