#659
Shika sana ulicho nacho
Umuco 2
Couplet 1
Shika sana ulicho nacho ili, Usipoteze Uzima wako wa Milele... {Wende na Ukweli fasi yote.} x2
Refrain
Ulicho nacho ni Neno la Mungu, Utembeye nalo pote, Tukishirikiana pamoja, Ushindi kweli ni wetu.
Couplet 2
Bwana-Arusi Iko tayari kuja, Kuchukuwa Bibi-Arusi wa kweli... {Ebu ndugu tuweni tayari.} x2
Refrain
Ulicho nacho ni Neno la Mungu, Utembeye nalo pote, Tukishirikiana pamoja, Ushindi kweli ni wetu.
Couplet 3
Dalili zote zimefika kweli, Za kutujulisha huyo wakati wa mwisho... {Ni wakati wa kujiandaa.} x2
Refrain
Ulicho nacho ni Neno la Mungu, Utembeye nalo pote, Tukishirikiana pamoja, Ushindi kweli ni wetu.
Couplet 4
Ndugu zangu fasi yote mpo popote, Kumbukeni muombeye wandugu vitani... {Vita vyote kusaidiana.} x2
Refrain
Ulicho nacho ni Neno la Mungu, Utembeye nalo pote, Tukishirikiana pamoja, Ushindi kweli ni wetu.
Couplet 5
Kumbukeni Aruni na Uri waliposhika sana mkono wa Musa akichoka... {Ndipo waliweza ‘shinda vita.} x2
Refrain
Ulicho nacho ni Neno la Mungu, Utembeye nalo pote, Tukishirikiana pamoja, Ushindi kweli ni wetu.
Couplet 6
Shikaneni mikono wandugu, ili Tumuombe kweli Mungu wetu Yesu Kristo... {Ndipo tutaweza’shinda Vita.} x2