Indirimbo Zikundwa Open in the app

#100

Wakati umekwisha

Umuco

Couplet 1

Wakati umekwisha wa kuwa tayari, Yesu yu’ karibu tena yaja, yaja upesi.

Refrain

Wakati umekwisha siku ziimekwisha, Yesu yu mlangoni tena yaja, yaja upesi.

Couplet 2

Siku zimekwisha za kuwa tayari, alama zimefika Yesu yaja, yaja upesi.

Refrain

Wakati umekwisha siku ziimekwisha, Yesu yu mlangoni tena yaja, yaja upesi.

Couplet 3

Alama zimefika za kurudia kwake; vyote vimefika, Yesu yaja, yaja upesi.

Refrain

Wakati umekwisha siku ziimekwisha, Yesu yu mlangoni tena yaja, yaja upesi.

Couplet 4

Habari zimefika za kutujulisha kwamba; Yesu anakuja tena yaja, yaja upesi.

Refrain

Wakati umekwisha siku ziimekwisha, Yesu yu mlangoni tena yaja, yaja upesi.

Couplet 5

Bwana Yesu yu’aja kuchukua bibi Arusi; tarumbeti zitalia siku Bwana Atakapokuja.