Indirimbo Zikundwa Open in the app

#117

Kutembea na Yesu

Umuco 1

Couplet 1

Kutembea na Yesu ni furaha kubwa, Kutembea na Yesu ni amani tele, Kutembea na Yesu vyaleta ushindi, Kutembea na Yesu vyatupa nguvu.

Refrain

Tembea na Yesu maishani mwako, Ufuate nyayo zake Bwana, Umpe nafasi nyumbani mwako, Umpe nafasi kazini pote, Njiani pia umpe nafasi, Itakuwa furaha, Haletuya!

Couplet 2

Tembea na Yesu ni rafiki wa kwanza, Umpende Yesu kuzidi upendavyo, Tembea na Yesu ni silaha kubwa, Na katika kuzungumza umtaje Yesu.

Refrain

Tembea na Yesu maishani mwako, Ufuate nyayo zake Bwana, Umpe nafasi nyumbani mwako, Umpe nafasi kazini pote, Njiani pia umpe nafasi, Itakuwa furaha, Haletuya!

Couplet 3

Tembea na Yesu katika moto, Tembea na Yesu katika jaribu, Tembea na Yesu katika kuchoka, Tembea na Yesu katika vyote.

Refrain

Tembea na Yesu maishani mwako, Ufuate nyayo zake Bwana, Umpe nafasi nyumbani mwako, Umpe nafasi kazini pote, Njiani pia umpe nafasi, Itakuwa furaha, Haletuya!

Couplet 4

Kuwa na Yesu maishani mwangu, Ni amani juu ya amani zaidi, Bwana Yesu uwe pamoja nami, Katika yote uzimani mwangu.