#104
Sifa kwa bwana Mungu
Umuco 1
Couplet 1
Sifa kwa Bwana Mungu, Aliyeumba vyote, Aliyeumba inchi, Na vitu vyote vilivyomo.
Refrain
Ninasifu Jina lake, Na neema zake kwangu mimi, Na upendo aliyenipenda, Sifa zake zajaana mwangu.
Couplet 2
Ndege asubuhi sana, Wainaimba Wakimsifu, Vilivyo chini vilivyo juu, Vinaonyesha nguvu zake.
Refrain
Ninasifu Jina lake, Na neema zake kwangu mimi, Na upendo aliyenipenda, Sifa zake zajaana mwangu.
Couplet 3
Jua, mwezi na nyota, Vinaonyesha nguvu zake, Nikiviona naona nguvu zake, Haleluya, ni furaha!
Refrain
Ninasifu Jina lake, Na neema zake kwangu mimi, Na upendo aliyenipenda, Sifa zake zajaana mwangu.
Couplet 4
Roho yangu inaimba, Nimepumzika bustanini, Mwili nao umeshindwa, Haleluya, ni furaha!
Refrain
Ninasifu Jina lake, Na neema zake kwangu mimi, Na upendo aliyenipenda, Sifa zake zajaana mwangu.
Couplet 5
Nuru yake yan’gaa sasa, Furaha inajaa mwangu, Ninaimba nikimsifu Bwana, Haleluya, ni furaha!