Indirimbo Zikundwa Open in the app

#62

Na kama mwili unavyo viungo

Umuco 1

Couplet 1

Na kama mwili unavyo viungo, vingi sana mno, {Vyote ni vya mwili ule ule, ndivyo Kristo alivyo.} x2

Couplet 2

Na kama mwili unavyo viungo, vingi sana mno, {Na kila kiungo kina kazi, kinachofanya mle.} x2

Couplet 3

Na kila kiungo kinafanya, kazi kilichopewa, {Na kila kimoja kinajaribu, kukuza chenziye.} x2

Couplet 4

Na kama Bwana wetu alitutia, ndani ya mwili wake, {Na kila mmoja ana kazi, ndani ya mwlli wake.} x2

Couplet 5

Viungo hivyo ni vingi sana, ndani ya mwili wa Yesu, {Lakini mwili ni umoja, ni mwili wa Yesu.} x2