#56
Bwana Yesu mimi naomba
Umuco 1
Couplet 1
Bwana Yesu mimi naomba, Sikiliza ombi langu Ombi, ninaloliomba Bwana, tumika kazi yako.
Refrain
E Bwana sikia, E’ Bwana tujibu, Ewe Bwana...Bwana tujibu, Bwana tumika kazi yako!
Couplet 2
Bwana Yesu Wewe ulisema,? Ombeni mutapewa, Tafuteni mtaona? Bwana tumika kazi yako.
Refrain
E Bwana sikia, E’ Bwana tujibu, Ewe Bwana...Bwana tujibu, Bwana tumika kazi yako!
Couplet 3
Sisi wana twajiombea, Tukiomba Wewe Baba, Ewe Bwana...Bwana tujibu, Bwana tumika kazi yako.
Refrain
E Bwana sikia, E’ Bwana tujibu, Ewe Bwana...Bwana tujibu, Bwana tumika kazi yako!