#46
Bwana nichunguze
Umuco 1
Couplet 1
Bwana nichunguze, Bw’ana nitazame, Kwa matendo yangu, Nitembeye nuruni.
Refrain
Bwana ni Wewe njia, Njia yangu ya wokovu, Bwana ndiye njia kuu.
Couplet 2
Mimi ni tayari, Kulishuhudia, Jina la Mwokozi, Kwani ndiye njia kuu.
Refrain
Bwana ni Wewe njia, Njia yangu ya wokovu, Bwana ndiye njia kuu.