Indirimbo Zikundwa Open in the app

#62

Nakama mwili unavyo viungo

Umuco

Couplet 1

Na kama mwili unavyo viungo vyingi, sana mno. ./.vyote ni vya mwili, ule ule ndivyo Kristo alivyo./.

Couplet 2

Na kama mwili unavyo viungo vyingi, sana mno. ./.Na kila kiungo, kina kazi kinachofanya mle./.

Couplet 3

Na kila kiungo, kinafanya kazi, kilichopewa ./.na kila kimoja, kinajalibu kukuza chenziye./.

Couplet 4

Na kama Bwana wetu alitutia ndani, ya mwili wake ./.Na kila umoja ana kazi ndani ya mwili wake./.

Couplet 5

Kwa roho wa Mungu tuliopewa twafanya mwiliwa Yesu. ./.Na kila umoja ana kazi ndani ya mwili wake./.

Couplet 6

Ivyo viungo ni vingi sana ndani ya mwili wa Yesu ./.Lakini mwili, ni umoja ni mwili wa Yesu./.