Indirimbo Zikundwa Open in the app

#46

Bwana nichunguze

Umuco

Couplet 1

Bwana nichunguze, Bwana nitazame kwa matendo yangu nitembeye nuruni.

Refrain

Bwana ni wewe njia yangu ya wokovu Bwana ndiye njia kuu.

Couplet 2

Mimi ni tayali, kulishuhudia jina la Mwokozi kwani ndiye njia kuu.

Refrain

Bwana ni wewe njia yangu ya wokovu Bwana ndiye njia kuu.