Indirimbo Zikundwa Open in the app

#17

Wa Kristo tulijenge

Umuco

Couplet 1

Wa kristo tulijenge kanisa la Bwana, tuepuke vishawishi vya muovu shetani,

Refrain

Ee Mungu, bariki kanisa tukufu, watu waupate, wokovu wako.

Couplet 2

Duniya na anasa vyote vitakwisha, Neno la Bwana Yesu, litaishi milele.

Refrain

Ee Mungu, bariki kanisa tukufu, watu waupate, wokovu wako.

Couplet 3

Wa kristo tulishike, Neno lake Bwana; tumuombe ufunuo, wa siku za mwisho,

Refrain

Ee Mungu, bariki kanisa tukufu, watu waupate, wokovu wako.

Couplet 4

Wa kristo tusilale, Bwana yu’karibu; tumuvae Yesu, Kristo, ili tuwe macho.

Refrain

Ee Mungu, bariki kanisa tukufu, watu waupate, wokovu wako.

Couplet 5

Ee ndugu jiazali, siku zinakwisha; safisha moyo wako, usiangamie.

Refrain

Ee Mungu, bariki kanisa tukufu, watu waupate, wokovu wako.