Indirimbo Zikundwa Open in the app

#15

Mimi niko na matumaini

Umuco

Couplet 1

Mimi nina matumaini, yangu yote kwako Bwana, Nina unyonge wa mwili wangu, niwezeshe kuushinda.

Refrain

Uwe kwangu e’ Bwana wangu, nami niwe mahali pako, maana wewe ni mwamba wangu, wewe ndiye rafiki yangu, kinywa changu kitajalishwa, sifa zako heshima zako.

Couplet 2

Niwezeshe kwa Neema yako, kwa Upendo na Huruma, inamisha sikiyo lako, kwangu mimi ewe Bwana.

Refrain

Uwe kwangu e’ Bwana wangu, nami niwe mahali pako, maana wewe ni mwamba wangu, wewe ndiye Rafiki yangu, kinywa changu kitajalishwa, sifa zako heshima zako.

Couplet 3

Unikumbushe kwa siku zote, pendo lako ewe Bwana; uniongoze kwa Neno lako, liwe taa kwangu mimi.

Refrain

Uwe kwangu e’ Bwana wangu, nami niwe mahali pako, maana wewe ni mwamba wangu, wewe ndiye rafiki yangu, kinywa changu kitajalishwa, sifa zako heshima zako.

Couplet 4

Unitie imani mwangu, niamini ahadi zako. Niongoze kwa Neno lako niwashinde aduwi zangu.

Refrain

Uwe kwangu e’ Bwana wangu, nami niwe mahali pako, maana wewe ni mwamba wangu, wewe ndiye rafiki yangu, kinywa changu kitajalishwa, sifa zako heshima zako.