Indirimbo Zikundwa Open in the app

#4

Wengi waingia

Umuco

Couplet 1

Wengi waingia, mulango mpana yule: wachache waingia yule mwembamba.

Refrain

Bwana Yesu We (x2) Nisaidie, nisaidie Ili nione, Mji ule Uliopambwa kwa wale, walioamini Amina uliopambwa kwa wale, waliyo amini Haleluya, uliopambwa kwa wale, walioamini.

Couplet 2

Njia hiyo ni nyembamba, inafika kule Sayuni (yuni), mpana inafika kure Motoni.

Refrain

Bwana Yesu We (x2) Nisaidie, nisaidie Ili nione, Mji ule Uliopambwa kwa wale, walioamini Amina uliopambwa kwa wale, waliyo amini Haleluya, uliopambwa kwa wale, walioamini.

Couplet 3

Njooni tuingie, mule munyembamba ndugu, Ndugu ili tuvikwe taji la uzima.