Indirimbo Zikundwa Open in the app

#313

Ninakusikia, Bwana

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Ninakusikia, Bwana, Unaniita sasa Kufika kwako nisafishwe kwa Damu ya Mwokozi.

Refrain

Ninakuja Bwana, ninakuja sasa; Unioshe nisafishwe kwa Damu ya Mwokozi.

Couplet 2

Hata mimi ni muchafu, Unipe nguvu yako, Nipate kuwa safi kweli kwa Damu ya Mwokozi.

Refrain

Ninakuja Bwana, ninakuja sasa; Unioshe nisafishwe kwa Damu ya Mwokozi.

Couplet 3

Bwana Yesu Anaita, nipate kwake vile Imani, pendo, na salama, furaha na taraja.

Refrain

Ninakuja Bwana, ninakuja sasa; Unioshe nisafishwe kwa Damu ya Mwokozi.