Indirimbo Zikundwa Open in the app

#302

Bwana, sasa uruhusu watu

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Bwana, sasa uruhusu watu wako kwenda kwao; Umetufikisha hapa, umetubariki sana; Umekusanyika nasi, kwenda nasi kwa mungini.

Couplet 2

Tunakushukuru sana kwa baraka yako kubwa; Ndani ya kitabu chako umetufundisha roho; Tukikwenda tukumbuke Neno tuliolipata.

Couplet 3

Umepanda mbegu yako, sasa uitie maji; Hivi tutazaa matunda, utukuzwe ndani yetu; Utuchunge hata siku tutakapomwona Yesu.