#291
Najua Yesu Anaishi
Nyimbo za Mungu
Couplet 1
Najua Yesu Anaishi, yeye ni hai Mbinguni kweli; Sababu alishinda kufa, vile uwezo wa kaburi.
Refrain
Najua Yesu Anaishi, yeye ni hai Mbinguni kweli; Najua Yesu Ananipa Uzima na Uwezo wake.
Couplet 2
Najua atakuja tena, nina ahadi yake hivi; Na siku nitakapomwona furaha itakuwa nyingi.
Refrain
Najua Yesu Anaishi, yeye ni hai Mbinguni kweli; Najua Yesu Ananipa Uzima na Uwezo wake.
Couplet 3
Najua anatengeneza pahali nitakapoishi; Na atakuja kuniita na kunikaribisha kwake.
Refrain
Najua Yesu Anaishi, yeye ni hai Mbinguni kweli; Najua Yesu Ananipa Uzima na Uwezo wake.