#283
Kujeni kusifu na furaha
Nyimbo za Mungu
Couplet 1
Kujeni kusifu na furaha nyingi, Kujeni kusifu Yesu ndiye Mwokozi; Alizaliwa kuwa Mukombozi.
Refrain
Kujeni kumwabudu, kujeni kumwabudu, Kujeni kumwabudu Yesu Mwokozi.
Couplet 2
Bikira Maria alizaa Yesu, Ni Mwana wa Mungu, vile Mwana wa Mutu; Aliondoa utukufu wake.
Refrain
Kujeni kumwabudu, kujeni kumwabudu, Kujeni kumwabudu Yesu Mwokozi.
Couplet 3
Pamoja na jeshi la Mbinguni juu Tusifu na kuabudu Yesu daima; Mwana wa Mungu anapata mwili.
Refrain
Kujeni kumwabudu, kujeni kumwabudu, Kujeni kumwabudu Yesu Mwokozi.